Mtagusano wa Kifonolojia baina ya Kinyankore na Kiswahili: Mtazamo wa Uwililugha Darasani
Abraham Kubakurungi Kyangungu, Mosol Kandagor & Samuel ObuchiChuo Kikuu cha Moi, S. L. P. 3900-30100, Kesses, Eldoret, KenyaEmail; kubakurungiabraham@gmail.com Ikisiri: Makala hii inachanganua athari ya Uwililugha na jinsi L1 ya Kinyankore inavyoathiriana na L2 ya Kiswahili katika kiwango cha kifonolojia wakati wa masomo darasani. Utafiti huu ulilenga kutathmini athari ya L1 iliyo Kinyankore kwa mafunzo…